
| 
   Contact us: 
 AVIC Consultants Plot 60 Block 45, Kajenge Street, Kijitonyama, P O Box 11924, Dar es Salaam, Tanzania 
  | 
 











| 
   INTRODUCTION Kuna changamoto nyingi unaweza kukumbana nazo unapotaka kuanzisha au kuendeleza biashara Jambo la muhimu ni kufahamu kuwa, mafanikio ya biashara yanategemea unavyo tekeleza taratibu sahihi za kuanzisha na kuendeleza biashara Hivyo ni muhimu upate elimu ya ujasiriamali ambayo itakusaidia kutekeeza taratibu sahihi za kuanzisha na kuendeleza biashara 
 VITABU VYA UJASIRIAMALI Kutokana na changamoto wanazo kumbana nazo wajasiriamali wakati wa kuanzisha au kuendeleza biashara, Tan Business Channel imechapisha  | 
 
| 
   vitabu mbali mbali vya ujasiriamali Vitabu hivyo ni kama vifuatavyo: ˇ Kuanzisha biashara ya duka la rejareja ˇ Kuanzisha biashara ya mgahawa ˇ Kuanzisha biashara ya salon ˇ Kuanzisha biashara ya vipodozi ˇ Kuandika business plan ˇ Kutengeneza hesabu za biashara ˇ Kuanzisha biashara ya nguo ˇ Kuanzisha biashara ya sembe ˇ Kuanzisha biashara ya nguo za mitumba ˇ Kitabu cha mtaji wa biashara ˇ Kutengeneza mfumo wa biashara ˇ Kuanzisha biashara endelevu 
 Karibu ujifunze ujasiriamali kwa kutumia vitabu vya ujasiriamali vya Tan Business Channel  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kuanzisha biashara ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kuanzisha biashara ya unga wa sembe ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK 
  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kuandika business plan ambayo unaweza pia kutumia kuomba mkopo bank. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kufanya makisio ya mtaji wa biashara. Kinaeleza sehemu unayoweza kupata mtaji wa biashara. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kuanzisha biashara ya nguo za mitumba ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kutengeneza mfumo wa biashara ambayo unaleta ufanisi na kufanikisha kufikia malengo ya biashara. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kuanzisha biashara ya mgahawa ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kuanzisha biashara ya salon ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kutengeneza hesabu za biashara ambayo unaweza kufahamu kama biashara inapata faida au hasara. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kuanzisha biashara ya duka la nguo ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kuanzisha biashara ya vipodozi ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kuanzisha biashara ya duka la rejareja ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK  | 
 
| 
   Usikose kuangalia kipindi cha Dira ya Ujasiriamali siku za Jumatatu-Jumamosi 9.00-10.00 PM 
 https://youtube.com/alimwambola 
  | 
 
| 
   Pata elimu ya ujasiriamali kupitia Tan Business Online School 
  | 
 
| 
   TAN BUSINESS CHANNEL ONLINE TV  | 
 
| 
   TAN BUSINESS BOOK PUBLISHING  | 
 
| 
   TAN BUSINESS ONLINE SCHOOL  | 
 
| 
   Tan Business Channel  |