
|
Contact us:
AVIC Consultants Plot 60 Block 45, Kajenge Street, Kijitonyama, P O Box 11924, Dar es Salaam, Tanzania |
|
COMMUNITY YA TAN BUSINESS CHANNEL |
|
Sasa hivi Tan Business Channel ina idadi ya subscribers zaidi ya 20,000. Hii ni habari njema kwetu sisi ambao tuna husika kwenye kutoa habari kupitia videos na Online Television
Idadi kubwa ya subscribers wana umri kati ya miaka 18 na 35 wanaume ni 55% na wanawake ni 45%
Kutokana na messages ambazo ninapata kila siku nimegundua kuwa wengi wa subsribers wengi wanapenda kupata majibu ya changamoto mbali mbali wanazoppata za ujasiriamali
|
|
Hali niliyo eleza hapo juu imenipa msukumo wa kutaka kutoa mchango wangu wa elemu ya ujasirimali kupitia hili kundi la subsribers
Kuanzia sasa nitakuwa natoa maelezo mbali mbali kuhusu ujasirimali kwenye hii Community na niko tayari kujibu maswali ambayo nitaulizwa na Community hii ya Tan Business
Nakaribisha maoni ya jinsi tunavyoweza kuwasiliana kutatua changamoto mbali mbali za ujasiriamali Karibuni kwenye Community ya Tan Business Channel Wasiliana name kupitia ajmwambola@tanbusiness.co.tz au WhatsApp 255 716 682 439 |
|
TAFSIRI YA NENO MJASIRIAMALI |
|
Kuna tafsiri nyingi za neno ujasiriamali na mimi naamini kuwa nyingi ya hizo ziko sawa kutokana na mtazamo wa mhusika
Tafsiri ambayo mimi naipenda ni kama ifuatavyo:
ENTREPRENEUR IS DEFINED AS SOMEONE WHO HAS THE ABILITY AND DESIRE TO ESTABLISH, ADMINISTER AND SUCCEED IN A STARTUP VENTURE ALONG WITH RISK ENTITLED TO IT, TO MAKE PROFITS
Mjasiriamali ni mtu mwenye uwezo na nia ya kuanzisha, kufuatilia na kufanikiwa katika uanzishaji wa biashara mpya, kwa madhumuni ya kupata faida. Ingawa zipo changamoto za kutofanikiwa kibiashara |
|
Kwa hiyo ujasiriamali ni uwezo na kuwa tayari kwa mjasiriamali kuanzisha biashara, kuiendeleza na kupata mafanikio. Mafanikio yanapimwa kwa kuangalia faida iliyopatikana kwenye biashara
SAFARI YA KWENDA KWENYE UJASIRIAMALI
Nawaomba wadau tuwe na subira kama tunataka kufanikiwa.
Hakuna njia ya mkato ya mafanikio Njia za kufuata mjasirimali ni zile zile kwa wote haijalishi kama unataka kuanzisha biashara kubwa au ndogo
Tutapima mafanikio kwa kuangalia biashara bora ngapi zimeanzishwa na kama hizo biashara ni endelevu (zenye faida)
Kama unavyoona hayo mambo yote huwezi kuyafahamu mara moja. |
|
Usikose kuangalia kipindi cha Dira ya Ujasiriamali siku za Jumatatu-Jumamosi 9.00-10.00 PM
https://youtube.com/alimwambola
|
|
Pata elimu ya ujasiriamali kupitia Tan Business Online School
|
|
TAN BUSINESS CHANNEL ONLINE TV |
|
TAN BUSINESS BOOK PUBLISHING |
|
TAN BUSINESS ONLINE SCHOOL |
|
Tan Business Channel |