Contact us:

 

AVIC Consultants

Plot 60 Block 45, Kajenge Street, Kijitonyama,

P O Box 11924,

Dar es Salaam,

Tanzania

 

Phones

 

+ 255 752 447 689

 

Email Address

 

ajmwambola@tanbusiness.co.tz

TAN BUSINESS CHANNEL

COMMUNITY YA TAN BUSINESS CHANNEL

Mimi ni Ali Mwambola mwanzilishi wa You Tube Channel ya Tan Business inayotoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana

 

Hivi karibuni nilifanya uchambuzi wa Tan Business Channel na kufahamu kuwa ina subscribers zaidi ya 8,000

Idadi kubwa ya subscribers wana umri kati ya miaka 18 na 35 wanaume ni 55% na wanawake ni 45%

Kutokana na messages ambazo ninapata kila siku nimegundua kuwa wengi wa subsribers wengi wanapenda kupata majibu ya changamoto mbali mbali wanazoppata za ujasiriamali

Hali niliyo eleza hapo juu imenipa msukumo wa kutaka kutoa mchango wangu wa elemu ya ujasirimali kupitia hili kundi la subsribers

 

Kuanzia sasa nitakuwa natoa maelezo mbali mbali kuhusu ujasirimali kwenye hii Community na niko tayari kujibu maswali ambayo nitaulizwa na Community hii ya Tan Business

 

Vile vile nakaribisha maoni ya jinsi tunavyoweza kuwasiliana kutatua changamoto mbali mbali za ujasiriamali

Karibuni kwenye Community ya Tan Business Channel

COMMUNITY YA TAN BUSINESS CHANNEL MPAKA SASA INA WADAU ELFU 14.1

Tunachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa, hadi sasa mwezi March 2024 idadi ya wadau wa community ya Tan Business channel imefika elfu 14.1

 

Tumekuwa tunachapisha habari mbali mbali kuhusu video zinatolewa Tan Business You Tube Channel

 

Vile vile tumekuwa tunaeleza vipindi mbali mbali, ambavyo vina tangazwa na Tan Business Channell Online Television

 

Kuanzia mwezi April 2024 tunatarajia

kuwa na utaratibu wa wadau, kuuliza maswali ya ujasiriamali siku za Jumamosi.

 

 

 

 

 

 

 

 

Watakao jibu maswali sahihi, watapewa zawadi ya kitabu kinacho chapishwa na Tan Business Channel

 

Hivi karibuni tutakuwa tunakaribisha wadau

watume story za mikasa au changamoto walizo kumbana nazo katika biashara zao. Changamoto ambazo zitaonekana kuwa na mvuto,

zitakuwa zina tangazwa kwenye kipindi cha Simulizi za Ujasiriamali cha Tan Business Channel Online TV.

 

Kipindi cha Simulizi za ujasiriamali hutagazwa na Tan Business Channel Online TV Jumamosi saa 3 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki.

 

Wote ambao watatuma simulizi zao Tan Business Channel Online TV watapewa zawadi ya kitabu